Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 4,903
- 7,206
Namna hiii
Kipo hapo tayari mbona? [emoji1787]Ongeza kisichana utaanza pata majibu
Unfortunately ziko mezani
Alipaswa kuwaita walipa kodi ama wanywaji[emoji3]Kuna jamaa kaingia bar akaamua awasalimie aliowakuta kaunta.
"Walevi wenzangu habari za saa hizi..??"
Aliowakuta kaunta,
"Aa bwana wewe vipi sisi sio walevi bwana , mlevi mwenyewe".
Hicho ki Hanson's kina rizimu nzuri halafu hakinaga ma hangover na mapichapicha
Yani unaamka fresh kabisa . Nakikubali sanaHHi
Hicho ki Hanson's kina rizimu nzuri halafu hakinaga ma hangover na mapichapicha