Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,859
- 236,249
Tabia za Jack Palladino hiziNmeweka smirnoff kwenye chupa ya maji
Ndo nilewe safarini [emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tabia za Jack Palladino hiziNmeweka smirnoff kwenye chupa ya maji
Ndo nilewe safarini [emoji1787]
Yan nikilewa
Mtakuja kujitapikia njiani na hizo pombeYan nikilewa
Nipige usingizi nije kushtuka nimefika Tegeta [emoji1787]
Ukishiba
Umekosea ungeweka konyagi ingekua ni Kali yakeNmeweka smirnoff kwenye chupa ya maji
Ndo nilewe safarini 🤣
Mi siezi tapika pombe yaani nitapike pesa!?
Ila kiuYani unaamka fresh kabisa . Nakikubali sana
HakikaUkishiba
Usipomix
Sahau kutapika
Weka alarm amka saa Tisa usiku gonga maji Lita na nusu!Ila kiu
AsanteWeka alarm amka saa Tisa usiku gonga maji Lita na nusu!
Kwisha
Mkuu kwa heshima na taadhima naomba tuzipuuze hizi kill light .bia gani una jaziwa hd juu na hazna taste ya bia na ukinywa hulewi ? Mimi Ni meamua kurudi kwa my wangu lager the Kilimanjaro nakunywa nikiwa bar za mtaani nkiwa kiwanja Ni mwendo wa Heineken au whyskey ( Grants,Jd , John walker nk) zamani nilikua nikienda kiwanja nakunywa hizi kili light kipindi zimetoka ila nimeona Ni matumizi mabaya ya pesa. Just imagine bia una jaziwa hadi juu wtf?Wakuu bei elekezi ya kilimanjaro light imekaaje? Mbona sehemu zingine 3,000 mara 2000 mara 1500!?
🤣🤣🤣 Brother ujue nakuheshim sana? Kwanini una kunywa vilevi vya warembo au Ni ya shemeji?Bundasiliga mwanza town View attachment 2850280
Mwenyekiti shikamoo?
Hebu nipe location kwanza[emoji1548]Mwenyekiti shikamoo?
Ulikesha Nini[emoji854]
Hebu nipe location kwanza[emoji1548]Mwenyekiti shikamoo?
Ulikesha Nini[emoji854]
Hebu nipe location kwanza[emoji1548]Mwenyekiti shikamoo?
Ulikesha Nini[emoji854]