Ze_Papirii
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 590
- 1,178
Jpili ni rahisi,jmosi angalau ila ijumaaa ni ngumu mnooooNimeshindwa ijumaa, ila jmosi na jpili naona kuna mafanikio kiasi
Jpili ni rahisi,jmosi angalau ila ijumaaa ni ngumu mnooooNimeshindwa ijumaa, ila jmosi na jpili naona kuna mafanikio kiasi
Ngumu sana mkuuJpili ni rahisi,jmosi angalau ila ijumaaa ni ngumu mnoooo
Wokovu umepitahuu mchanganyiko hatariii . taratibuuu tukiwaangalia Yanga
kumepoa sana humu au watu wameacha pombe?
View attachment 2831635
Naunga mkono hoja Mshana.Walevi ni watu wema.Hawana shida tena wana upendo.Wao kila wakikutana ni ndugu
Basi Sisi tutakunywa kwa niaba yenu 😁Wokovu umepita
Shwaaaa..
Umepotea tukajua ushaacha pombe..[emoji17]
[emoji23] nikiacha TBL itapata tabu sanaUmepotea tukajua ushaacha pombe..[emoji17]
Aiseee itapoteza mapato mengi sanaa
Mechi daraja la kwanzaLeo nipo getto tu na kikombe cha tangawizi yamotooo iliyowekwa asali nashushia na karanga mbichi zile nyeupe.
Nimetoka kupata chair fire 🔥 kilo nimemaliza nasindikiza na izo ulizo weka kwenye picha......
Mungu anakutumia kufanya kazi yakeI wonder nowadays natumia pesa nyingi sana ku sponsor na kusaidia watu mbali mbali mpaka najishangaa...
Hii December najishangaa sanaa au ndio tuseme GIVE TO THE SOCIETY
😂😂😂🤣
Amen,Mungu anakutumia kufanya kazi yake
Ni kwa kutoa ndio tunapokea.. Toa yako haiendi bureI wonder nowadays natumia pesa nyingi sana ku sponsor na kusaidia watu mbali mbali mpaka najishangaa...
Hii December najishangaa sanaa au ndio tuseme GIVE TO THE SOCIETY
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]