Yap kwani ni nyingi sana?Umesema wakudai kreti fifty
😂😂
Nawasaidia kutunza kumbukumbu
Kwani haujui jf kila mtu tajiri ,shikia hivyo hivyo mda utasema 😁😁Yap kwani ni nyingi sana?
Mwamba🙌
Safari zina vibe hatariTwende nikakununulie safari 4 Certified Hater [emoji23][emoji23]
Usisahau kunikumbusha ahadi yangu.Twende nikakununulie safari 4 Certified Hater [emoji23][emoji23]
Depal huku hujafika?Twende nikakununulie safari 4 Certified Hater [emoji23][emoji23]
😂😂Depal huku hujafika?
![]()
Umevaa nini leo? Tupia uturingishie
Unajua kwanini tuna vioo majumbani na wengine kwenye mapochi? Kupendeza! Unajua ni kwanini mara nyingi huchagua viwalo? Kupendeza! Unajua kwanini baadhi yetu hupenda watu watuangalie na kutusifia? Kupendeza! Hebu tupia ulichovaa leo iwe saa, miwani, wigi, kiatu ama nguo yoyote ile na urembo...www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Tar ngapi nikukumbushe 😂Usisahau kunikumbusha ahadi yangu.
Mnazipenda sana wanaumeSafari zina vibe hatari
SureMnazipenda sana wanaume
Tukipanga apa jf tukutane kama tulivyo.Tar ngapi nikukumbushe 😂
Kwamba unanichokoza ili nikuanguahie Smirnof zako mfululu..mwlTwende nikakununulie safari 4 Certified Hater 😂😂
😂😂 nataka nikuangushie wewe mwalKwamba unanichokoza ili nikuanguahie Smirnof zako mfululu..mwl
Kimea hakiivi kabisa sasa hiv.. Sema nimetoka nayo mbali japo sijui tunapoenda ila mi ni Safari😂😂 nataka nikuangushie wewe mwal
Ama 4 hazikutoshi?
Umepata 😆Kimea hakiivi kabisa sasa hiv.. Sema nimetoka nayo mbali japo sijui tunapoenda ila mi ni Safari
Haya ndo mambo ss[emoji39]View attachment 2818996
Baada ya kuachana na beer