Plan Master
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,188
- 3,776
Mkuu inabdi siku moja tukutane wanywaji wote humu.
Kuna mpango tunauandaa mkuuMkuu inabdi siku moja tukutane wanywaji wote humu.
Msiniache mkuu mwezi wa 12 itakua poa sana coz nitakuwepo home.
Tutajulishana hapahapaMsiniache mkuu mwezi wa 12 itakua poa sana coz nitakuwepo home.
HahaUtaniua na presha chali angu mambo gani hadi nahisi kama vile umetekwa.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
😂😂 ahsante mkuu
Sure
Hiyo ni fifty au five 😂😂Nidaiwe cret 50 za bia mkuu.
Hadi nimekonda kwa kukuwazaHaha
Mbona nipo mkuu? Tunapishana tu
Pole 😂😂 usikonde, nimerejea
Fifty kama fifty just relax , kumbe na mimi naweza kizungu🤣🤣Hiyo ni fifty au five 😂😂
Wanywaji humu ni wengi hizo bado ni chache.Hiyo ni fifty au five 😂😂
Ningeleta vurugu kwenye nyuzi zote.Pole [emoji23][emoji23] usikonde, nimerejea
Si wangekuban tu utulie 😂
Umesema wakudai kreti fiftyFifty kama fifty just relax , kumbe na mimi naweza kizungu🤣🤣
Wangeheshimu hisia zanguSi wangekuban tu utulie [emoji23]