Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mkuu inabdi siku moja tukutane wanywaji wote humu.
IMG_20231121_130049.jpg
 
Mko wapi washirika mbona kimya kama weekend haijaanza ivi. Acheni uoga January ipo tu . Nasogea Andrew's hapa Arushaaaaa 🍻🥂🍻🥂 nani yupo maeneo
 

Kwa heshima kubwa. Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno.

Pamoja na sifa zote hizo lakini pia kaliba hii inakabiliwa na changamoto mbalimbali hasa

. Kushindwa kufanya migomo kila bei inapopanda
. Vituko baada ya kulewa
. Vibweka vya kila aina

Kupitia mada hii hebu tuweke matukio yote yanayojiri kwenye uwanja wetu huo. Tusisahau kutupiamo vyupa vyetu tukiwa viti virefu na vifupi. Zile za ofa na hata za kwenye sherehe.

Tupiamo hata zile sura zilizoharibiwa na ngumu kumeza.

CC: mrangi mzee wa OVA! YURE MUPE YURE MURUKE!
Naunga mkono hoja Mshana.Walevi ni watu wema.Hawana shida tena wana upendo.Wao kila wakikutana ni ndugu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom