MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 6,742
- 22,908
Ukinikuta sober huwezi amini kabisa kama huyu jamaa ndio tulikua tunapiga nae story jana😁😁 Kichwa safi kabisa hiyo. Yani ukilewa ndo unaweza danganya?
Ukinikuta sober huwezi amini kabisa kama huyu jamaa ndio tulikua tunapiga nae story jana😁😁 Kichwa safi kabisa hiyo. Yani ukilewa ndo unaweza danganya?
Ndo inavyotakiwa adui apotezwe.Ukinikuta sober huwezi amini kabisa kama huyu jamaa ndio tulikua tunapiga nae story jana
Sio hater ni lover 😘😍.Mwenzako hater ashazima
😂😂😂😂😂😂😂 hayanaga muongozo wanasema lakini
Ngoja tuendelee kufarakanisha..
😄😄 acha hila mtotoSio hater ni lover 😘😍.
Ningekuwa mbaba ningekupata ww i swear.
Ila muda utaongea
Nakuambia. Natamani ningekuwa mbaba asee ningefaidi mengi 😑😐🥲.😄😄 acha hila mtoto
Depal kutokuelewa kwangu hapa inaweza kuwa nimelewa? AuSio hater ni lover 😘😍.
Ningekuwa mbaba ningekupata ww i swear.
Ila muda utaongea
HayaNakuambia. Natamani ningekuwa mbaba asee ningefaidi mengi 😑😐🥲.
Ni mateso kuwa kijana mdogo nakuambia. 😶😒😒
Pata spirit moja hapo tuelewane mkuuu😅😅😅 Itakuwa umelewa kweli ila utaelewa siku moja.
Nimeaanza kusikia makelele tu sasa.Dj apewe shisha
Nitamlipia
🤣🤣🤣💥💥
Dj kaanza kuharibuNimeaanza kusikia makelele tu sasa.
Mtoto huyooPata spirit moja hapo tuelewane mkuuu
Fundisha vizuri watoto wako sasa.Mtoto huyoo
Akipata spirit ataamke kesho kutwa
Nitamkanya 😆😆Fundisha vizuri watoto wako sasa.
Bado badoooo.. Kaza kwanza