Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,849
- 209,771
Kunywa fanta orange 😂😂Aaah leo ndo siku soda zenye sukari zitanijua mimi ni nani....., huwa nikiamka naumwa kichwa naweza kunywa soda zote za sukari zaidi ya tano kwa siku....., Mpaka sasa nishakunywa Fanta Passion moja ila nataka niagize pineapple niendelee kusogeza nayo muda
Inakata fasta..