Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

niko site mapema sana namsubiri mnyama 🦁

PXL_20231020_141242626.jpg
 
Heineken ni lite beer kama Serengeti Lite na castle lite wanakunywa kina mama, mwanaume unatakiwa kuteremka na beer ambazo ni strong kama B A L I M I na Safari.
Wakati naingia ulevini Nilianza na Safari kwahyo nazielewa...
Sasa hv nimepunguza sana ulevi ..mara ya mwisho nilikunywa wiki 2 zilizopita SMINORFF ICE
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom