Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Tumuenzi Mwalimu Nyerere Mchonga meno alikuwa mdau na mlipa kodi no moja
IMG-20231014-WA0030.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshana Jr mbona nikinywa napenda sana kutoa ahadi za pesa leo nimechill zangu home namwagilia moyo nakuta msg kama 6 kumbe kuna watu niliwaidi kuwatumia pesa wikend hii yani ata sijui
[emoji3][emoji3][emoji3] Pombe ina mambo matatu, usipoyazingatia unaweza kupata hata majanga makubwa
1. Wewe ni nani
2. Uko wapi
3. Unafanya nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah! Nashtuka sa hivi kichwa kinagonga kuliko kawaida[emoji58] kweli Valuer sio pombe ya kunywa kavu labda umix na safari baridi inakuwa na ladha flani hivi amaizing na haina hangover [emoji55][emoji55][emoji55]

Hapa bila supu hapakaliki Jumapili ishakuwa chungu hii
 
Pole sana mimi jana mchana nilianza na Konyagi na bitter lemon
Jioni nikagonga Kili 4
Usiku nikaona bado kidogo nikasogea mahali hakuna konyagi bali kuna one shot![emoji23] nikala kamoja
SAA tano usiku nikapata hamu tena nikaagiza smart na kili 2 ndio nikalala.. [emoji23]
Bado niko kitandani mpaka sasa

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Mkuu kwa hyo mixer alchemist wakichukua damu yako wanatoka na dawa ya UKIMWI[emoji28][emoji28][emoji28]

Mimi nakunywa sawa ila wewe ni gari maalumu kwa matumizi ya kubeba pombe tuuu
 
wakichukua damu yako wanatoka na dawa ya UKIMWI[emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aaah leo ndo siku soda zenye sukari zitanijua mimi ni nani....., huwa nikiamka naumwa kichwa naweza kunywa soda zote za sukari zaidi ya tano kwa siku....., Mpaka sasa nishakunywa Fanta Passion moja ila nataka niagize pineapple niendelee kusogeza nayo muda
Kula energy utakaa sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom