Boogman
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 2,542
- 5,802
Sahihi kbs ila tunakuja juu sio kipolepole[emoji2][emoji28][emoji28]
Sahihi kbs ila tunakuja juu sio kipolepole[emoji2][emoji28][emoji28]
Sungura kachangia speedSahihi kbs ila tunakuja juu sio kipolepole[emoji2][emoji28][emoji28]
Kuna kazi amewapa wahashindwa kufanya?Maneno ya waziri hiyo jana
Emu nitoe leo nione kama nitafika stage hiyo
[emoji3]weekend loading.. Request accepted..!Emu nitoe leo nione kama nitafika stage hiyo
Furahi day is here 😂😂🍻
Hujawahi kunywa castle milkHakuna bia yenye ladha nzuri Tanzania kama safari lager ya baridi aise
List ipo hivi, south africa, zambia, malawi. Kote huko nimeishi, huko pombe inanyewa bana, sio huku tunagusa gusa tu, kama leo jmos mitaa ya Johannesburg ni hatari, fika hapo lusaka, fika hapo lilongwe na Blantyre [emoji23][emoji23]Nasikia Tanzania tunaongoza ligi ya kupiga ugimbi, hizi taarifa ni sahihi?
List ipo hivi, south africa, zambia, malawi. Kote huko nimeishi, huko pombe inanyewa bana, sio huku tunagusa gusa tu, kama leo jmos mitaa ya Johannesburg ni hatari, fika hapo lusaka, fika hapo lilongwe na Blantyre [emoji23][emoji23]
Hizo ni kama maji ya kunywa hivi kuna mtu ambaye uwa analewa akinywa hizo?View attachment 2759445
Tumeianzia humu weekend.
Zile nyeusi zake ni tamu balaaHizo ni kama maji ya kunywa hivi kuna mtu ambaye uwa analewa akinywa hizo?
Mimi hapa… any of Tz beer nalewa mapema mno.Hizo ni kama maji ya kunywa hivi kuna mtu ambaye uwa analewa akinywa hizo?
Wkend is here
Hizo ni kama maji ya kunywa hivi kuna mtu ambaye uwa analewa akinywa hizo?