Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 375,861
- 870,820
- Thread starter
- #27,021
ilikua home tu mkuu
Mungu anaangalia matendo yako sio pombe....uko wap nkupige Bapa la Konyagi utulize wengeMalevi bwana huwa yanapingana yanafanya kitu cha maana kweli kunywa pombe mpaka kujinyea. The kinaendelea nini baada ya kunywa hadi saa tisa usiku? Ulipata faida gani? Pombe hakusaidii kitu pia ni chukizo kwa Mungu. Hukumu ya Mungu ni juu yenu walevi wote. Acha pombe sasa bwana mdogo kwani mwisho wake sio mzuri. Kijana mdogo mashavu yamekulendemka na sura imekaza kisa pombe.
Upo Germany ?
Haka kadude ni noma,unaweza ukakadharau7⁷
Kodi imelipwa.View attachment 2680883
fanya mazoeziYafaa nini bila kuzimua [emoji23][emoji3][emoji3][emoji482]
nilikuwa nakunywa ila now nimeokoka [emoji120]
Sina kitambifanya mazoezi