Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

.
IMG-20230528-WA0006.jpg
 
Sio kwel....ile ya jumamos ya mwisho wa mwez inakuaga siku nzima kuna siku tumekunywa hadi saa tisa usiku
Malevi bwana huwa yanapingana yanafanya kitu cha maana kweli kunywa pombe mpaka kujinyea. The kinaendelea nini baada ya kunywa hadi saa tisa usiku? Ulipata faida gani? Pombe hakusaidii kitu pia ni chukizo kwa Mungu. Hukumu ya Mungu ni juu yenu walevi wote. Acha pombe sasa bwana mdogo kwani mwisho wake sio mzuri. Kijana mdogo mashavu yamekulendemka na sura imekaza kisa pombe.
 
Acha ufara si uwe wewe mlokole inatosha
 
Malevi bwana huwa yanapingana yanafanya kitu cha maana kweli kunywa pombe mpaka kujinyea. The kinaendelea nini baada ya kunywa hadi saa tisa usiku? Ulipata faida gani? Pombe hakusaidii kitu pia ni chukizo kwa Mungu. Hukumu ya Mungu ni juu yenu walevi wote. Acha pombe sasa bwana mdogo kwani mwisho wake sio mzuri. Kijana mdogo mashavu yamekulendemka na sura imekaza kisa pombe.

Matakle wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom