mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,943
- 81,598
mtoto unapenda tungi wewe😂Njoo tuanze wkend mshamba_hachekwi View attachment 2682185
bila shaka ni mchaga😂
mtoto unapenda tungi wewe😂Njoo tuanze wkend mshamba_hachekwi View attachment 2682185
Huyu ni yule Mtangazaji wa ITV Jackline Silemu. 😩😆😁😉😏mtoto unapenda tungi wewe😂
bila shaka ni mchaga😂
Baridi ni kali totoo 🤣🤣mtoto unapenda tungi wewe😂
bila shaka ni mchaga😂
AnkoooHuyu ni yule Mtangazaji wa ITV Jackline Silemu. 😩😆😁😉😏
walevi mnachekesha sanaWakuu kama una hulka ya kuamka na Ile Choo ya acid sana inaumaaa.dawa ni piga tango kubwa moja baada ya saa utapata Choo Safi
Nipo lindi hapa chimbo gani zuri la kwenda kujirusha
Nipo lindi hapa chimbo gani zuri la kwenda kujirusha
Santorini itapendeza zaidi upepo kama wote wa bahariUpo sehemu gan nikuchoree raman ya maeneo.
Kama kweli ni Jackline Silemu anawaukalisha uchaga wake vyema ila kuna sehemu anataka kuanza kupwayaHuyu ni yule Mtangazaji wa ITV Jackline Silemu. 😩😆😁😉😏
Kama kweli ni Jackline Silemu anawaukalisha uchaga wake vyema ila kuna sehemu anataka kuanza kupwaya
Niko jikoni Shy, nakula vitu OG.[emoji1][emoji1]
Kesho Arusha, Tanga j5 asee.Alieko muheza
Ufukweni kule magereza au?? Lindi pamekaa kishamba sana..kuna bar kubwa pale karibu na magereza ndio inabamba wamburu wamemwagwa palee ..inshort lindi nikamji kadogoo kasiko na stareheeNenda ufukweni hapo, achana na ile hoteli nzuri nzuri, kuna sehemu hapo pana kitimoto matata sana. Unapuliwa na sea breeze [emoji28][emoji28]