Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Santorini itapendeza zaidi upepo kama wote wa bahari
Hapaa kaka
MVIMG_20200819_175159.jpg
 
Ufukweni kule magereza au?? Lindi pamekaa kishamba sana..kuna bar kubwa pale karibu na magereza ndio inabamba wamburu wamemwagwa palee ..inshort lindi nikamji kadogoo kasiko na starehee
Lindi ni kubwa sema sehemu nzuri za starehe ndo changamoto kwanza ni chache sana, ule mji umetawaliwa sana na wazawa ndo maana hata mijengo yao still ni ya kizamani
 
Wanasehemu yao tegemeo sana maeneo ya uwanja wa mpira pale, panaitwa Paris.
Ndio hapo hapo mkuu ile naingia kwa mara ya kwanza lindi nilielekezwa hapo yaani siku za weekend hapafaiii nyomi ya kufa mtu ...bahati mbaya first time natimba hapo paris kuna baamed alitokea kunielewa na mimi nikamuelewa si akaja kukaa na mimi...kumbe kuna maaskari walimnunulia bia za kutosha akawakimbia kwenye meza yao eeeeh iliwauma wakawa wananilia rada...nimetoka niende nikawithdraw pesa kwenye kale kaduka ka tigo pesa wakanifuata nakuta nimepigwa kofiii zito naona nyotanyota sijakaaa sawa nakuta wananishika mikono wanifunge pingu....ila walijuta kuvamia watu wasiowajua ..wale jamaa nilihakikisha wanatundika jezi...toka hapo walikuwa wakiona gari yangu heshima tele..kuna maaskari wa mikoani wanaushamba mwingi yaani wanajiona Miungu mtu...yaani kisa mwanamke anataka kukukomoa wakupe kesi za ajabu ajabu.
 
Ulifanya vizuri sana kuwafunza adabu, maana maaskali wengi wa kusini wana ubabe wa kishamba sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom