Waseme
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 2,620
- 4,156
Mh ngoja nikae kimya😌Makubaliano ni unalala 🤣
Mh ngoja nikae kimya😌Makubaliano ni unalala 🤣
Kausha [emoji23]Niwajazie nyuki View attachment 2596268
Hapa sawa[emoji1635][emoji23] Waseme View attachment 2596451
Nimezinduka sahii 🤣Mh ngoja nikae kimya😌
na ukute anayeoa hapo akilog in jf anakuwa team kataa ndoa
Hampendi tunyuki nyuki 🤣Kausha [emoji23]
Haya chapu achia blanketi wahi kanisaniNimezinduka sahii 🤣
Tuma hicho kifua kule selfika mbona vingine unatuma😀😀😂 njoo gheto
Uangalie kama nina kifua au sina.
Nilikutafutia dawa ukaikataa 😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Inakuaje mwanaume anakunywa flying fish?
Shida ya kvant ni kupoteza kumbukumbuK-vant ni noma sana mi naikubali Kwa sababu haina hangover..juzikati hapa tulikuwa na washkaji chimbo fulani hivi tumechukua mabapa mawili yale makubwa tulivyokata moja nikachukua Pisi..duh piga mashine lakini mkojo hautoki pisi ilikasirika kichizi
Hiyo ndo shida yake kubwa.. unaweza kufanya kitu,kesho watu wakakusimulia ukabaki tu unashangaaShida ya kvant ni kupoteza kumbukumbu
Ebhana we noma,juzi nilikusaidia mikoba yako,ulishindwa kufungua Milango nikakusaidia pia...Hiyo ndo shida yake kubwa.. unaweza kufanya kitu,kesho watu wakakusimulia ukabaki tu unashangaa
Haa hahaha mule mule unajikuta tu uko homeEbhana we noma,juzi nilikusaidia mikoba yako,ulishindwa kufungua Milango nikakusaidia pia...
Mtu ananiambia,hata sikumbuki nilifikaje nyumban.
Nikajua tu ni kvant
Unaweza toa siri zako zote.Haa hahaha mule mule unajikuta tu uko home