Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,848
- 209,771
Huku leo ni kunanyesha tokea asubuhiSambi sangu sinanitosha
Haina kupoa.
Huku leo ni kunanyesha tokea asubuhiSambi sangu sinanitosha
Ila wewe 😂Woyoooo
Haaaaaaah ndo naamka hapa sasaIla wewe [emoji23]
Mlale tu sasa, si mlikuwa mnalalamika joto nyie??Huku leo ni kunanyesha tokea asubuhi
Haina kupoa.
Karibu biereeeeeeMlale tu sasa, si mlikuwa mnalalamika joto nyie??
AfadhaliHaaaaaaah ndo naamka hapa sasa
Umechepukia wapi au take awayKaribu biereeeeee
kwenye ile supermarket yetu 😂😂Umechepukia wapi au take away
Nko sasa kulipa Kodi Kwa upendo hivi kwenye Serengeti lager wameweka nini?Afadhali
Umekutana na giza
Hongera mtoto mzuri unanywea home😘kwenye ile supermarket yetu 😂😂
Makubaliano ni unalala 🤣Hongera mtoto mzuri unanywea home😘
Ila sasa mbona sipati notification kuwa umenilipia 🍷
Hata sijui.. sijawahi itumiaNko sasa kulipa Kodi Kwa upendo hivi kwenye Serengeti lager wameweka nini?
Ata lite?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata sijui.. sijawahi itumia
😂😂😂 nilionjagaAta lite?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwahyo ww ni mwendo wa wine Tu?[emoji23][emoji23][emoji23] nilionjaga
Ikaninyonga.. ni chungu sanaa
Or desperados na smirnoff black iceKwahyo ww ni mwendo wa wine Tu?
Desperado nmewahi kuinywa iko fresh hla kama inashukaga chini Kwa wadada [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Or desperados na smirnoff black ice