Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Nimeimiss
FB_IMG_1684655788436.jpg
 
Siyo kwamba nakukatisha tamaa ila ukimaliza dose kacheki tena,ukileta mrejesho mzuri nitaenda kuchukua dose kwa Mara nyingine mkuu.
Sawa,Dr alisema baada ya siku 14 nikimaliza nikae wiki 1 then nifike anipime tena.

Ila nimeambiwa nitafute maziwa ya ngamia ama mbuzi na asali ili nitengenezewe dawa .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom