Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,848
- 209,757
Pika wali uleMkuu ngoja nipate menu hapa ya mchana nijongee maeneo niko alone kabisa
Pika wali uleMkuu ngoja nipate menu hapa ya mchana nijongee maeneo niko alone kabisa
Wali??? Nataka kuuza Amana Nile nyama ya NunduPika wali ule
A town?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Starehe za siku moja zisikufanye ukauza amana zako [emoji23]
Google Pillars/ The Hub.
Geneva of Africa 😂A town?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ulisema haujala, sasa si upikeToka nimesema nguo chafu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bingwa niliijaribu nikaitema,That’s an added bonus of being a male! Mkuu sisi tunalewa popote bia yoyote mm saizi nimebakiza kunywa bingwa tu na Leo ntainywa [emoji1787][emoji1787]
Na Green City kwetu tukuitaje??? Copenhagen of Africa Mashariki na KatiGeneva of Africa [emoji23]
Avociry 😂😂Na Green City kwetu tukuitaje??? Copenhagen of Africa Mashariki na Kati
Lipa kodi kiongozi mm bado bado msosi ushukekuna sehem napata menu heavy nashushia na guiness bariid km 4 af nahamia chimbo la wastaarab nalamba black&white na maji bariid tartiib kabisa[emoji847]
Dah mwanamke huna kifua??Hivi wewe si umemaliza dawa last week 🤣?
Au cough sio ugonjwa?
Ms. Ballantines
😂 njoo ghetoDah mwanamke huna kifua??
kwa juice gani uliyotuma hadi uwe na kiburi cha kunitangaza huku😏
Endelea kuringaYaani ndo napata notification leo eti!!
Kosa langu lipi sasa hapo??Endelea kuringa
Si ushajipata
😂😂😂
Ninunulie dompo niache kunywa majuith 🤣🤣Kosa langu lipi sasa hapo??
ndo maana unakunywa majuith thkukuu😛
Sambi sangu sinanitoshaNinunulie dompo niache kunywa majuith 🤣🤣
Ukiongezea na zangu sio mbayaSambi sangu sinanitosha