Franky
JF-Expert Member
- Apr 27, 2012
- 2,271
- 2,871
Wadau nikianza kuwaka saivi kuna ubaya??? [emoji2957]
Hakuna ubaya lipa kodi mkuu
Wadau nikianza kuwaka saivi kuna ubaya??? [emoji2957]
Kama mshahara wako una koma 1. Tulia mpaka giza lianze kuingiaWadau nikianza kuwaka saivi kuna ubaya??? [emoji2957]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah nataka nilale mapema Nina Jambo languKama mshahara wako una koma 1. Tulia mpaka giza lianze kuingia
Mkuu ngoja nipate menu hapa ya mchana nijongee maeneo niko alone kabisaHakuna ubaya lipa kodi mkuu
Wapi huko bia buku jero [emoji23]
Kwanza unaanza kunywa Kwa mangi ndo unajongea uko kwingine uko wavuvi na small planetKhaaa pub za mtaani viduka vya mangi wanauzaje Serengeti lager? Lite? Castle lite? Tatizo nyie mnataka kunywa bia junction! Dunia nzima mnakutana Hilo chimbo Mara kitambaa, small planet
Basi sahivi fua nguo. Ukimaliza lala[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah nataka nilale mapema Nina Jambo langu
Mshana Jr hukubahatika kubebwa kweli miaka hiyo[emoji1][emoji1][emoji820]The Drunk Basket[emoji820]
•Bars in 1960s Turkey used to hire workers to carry "too drunk" people back home
•These people were called küfeci and
To be so drunk you couldn’t walk was called küfe.
•Many bars in Turkey would often employ basket men whose sole purpose was to take patrons home when they were too drunk to stand up.
•Most of these men would work as porters during the day and then would work as basket men at night to earn some extra money.
View attachment 2596107
Mkuu ngoja nipate menu hapa ya mchana nijongee maeneo niko alone kabisa
😂😂 mdada akikaa kwa Mangi alewe, kesho kutwa mnaanza kumsema vibaya.Khaaa pub za mtaani viduka vya mangi wanauzaje Serengeti lager? Lite? Castle lite? Tatizo nyie mnataka kunywa bia junction! Dunia nzima mnakutana Hilo chimbo Mara kitambaa, small planet
[emoji23][emoji23] mdada akikaa kwa Mangi alewe, kesho kutwa mnaanza kumsema vibaya.
Huku bia buku4
Uko ni wapi uko niuze shamba la urithi nije unipeleke?[emoji23][emoji23] mdada akikaa kwa Mangi alewe, kesho kutwa mnaanza kumsema vibaya.
Huku bia buku4
Toka nimesema nguo chafu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Basi sahivi fua nguo. Ukimaliza lala
Ukiamka shtua na bia 2
Starehe za siku moja zisikufanye ukauza amana zako 😂Uko ni wapi uko niuze shamba la urithi nije unipeleke?