YenyeweLooks like Balantine?
Ndio inaishia hiyoView attachment 2026477
Tunamalizia weekend namna hii.
Ipo wap na ni kwanin tukunyonge?Jana Nilipita Bar Inaitwa KB Sijui, Nikirudia tena kwenda Pale Mninyonge [emoji1]
Ipo wap na ni kwanin tukunyonge?
Anaweza akarudi kisirisiri huko KB..ila nafsi yake inabd imsute amesema anyongwe.Ipo wap na ni kwanin tukunyonge?
Hahhaah[emoji23]"BIA TAMU IDEOLOGY" JUDGE BIA WALAU TULE MAISHA BIA GANI TAMU SANA KATI YA HIZI.... (WACHUMI MSINIPELEKE JELA)
View attachment 2028043
Hizo zote zimezama [emoji119][emoji119][emoji119]View attachment 1985124
Tangu mwezi wa 8 tarehe 24 nilisema ntakua nanywea ndani, leo ni tarehe 24 mwezi wa 10... nmefanikiwa hilo na hapo hizo ni chupa ambazo nilkkua nazihifadhi ku track rekodi yangu.. zipo 104. . nlikua nanunua kila moja 9000 ila kwakua naagiza kwa bodaboda inakua 10000. ..
am starting to enjoy kunywea geto!.
Mimi nilipo inywa sikuhisi chochote [emoji16][emoji16] ikabidi nipandishie na Nyagi.Kuna hii kitu inaitwa HUNSON CHOICE waliowahi kuitumia hii ipoje kwa upande wa hangover
😂😂😂 KB ya Tabata ?Jana Nilipita Bar Inaitwa KB Sijui, Nikirudia tena kwenda Pale Mninyonge [emoji1]
The kilimanjaro"BIA TAMU IDEOLOGY" JUDGE BIA WALAU TULE MAISHA BIA GANI TAMU SANA KATI YA HIZI.... (WACHUMI MSINIPELEKE JELA)
View attachment 2028043
KB karbu na what's app bar tegeta Kibo ile bar Kuna mapopo wengi Sana umenikumbusha kitu aisee .Jana Nilipita Bar Inaitwa KB Sijui, Nikirudia tena kwenda Pale Mninyonge [emoji1]