Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Kuna siku nikanywa dompo namix na ice jamani ilikiwa tamu maradufu.
Nakunywa tuuuu kuja kushtuka melewa hoves na ubaya wa wine zinani'turn on [emoji21][emoji21]
Sijui nihamie wapi au niokoke tu [emoji23]
Hamia black and white au jipigie cocktail
Dompo Ni noma Sana mi niliachaga kitambo
 
Inaitajika nguvu kubwa sana, haswa personal issues ndio zinakupa hamasa kubwa.

Subiri nizimua hapa, bar ya mtaani..
Yeah.. kuacha pombe mara nyingi ni personal issue..mfano ukikosa pesa unaacha kwa muda..au mtu akilewa akafanya tukio la kujidhalilisha lazma aache. Sisi ambao tukinywa tunakuwa wapole tunaanzaje kuacha pombe🤔😄
 
Hii kitu inakuja automatically.. Mimi nilikuwa siwezi kulala bila kupata kibinti cha Konyagi.. N trust me hiyo hali nilikaa nayo zaidi ya miaka 10, nilipumzika nusu nilipokuwa naumwa tuu na sometimes hata dozi nilikuwa simalizi
Konyagi
Valuer
Na ngumu kumeza nyingi ndio vilikuwa vilevi vyangu.. Halafu from nowhere hamu ya pombe ikaisha kabisa.. Sasa hivi naeza maliza hata wiki 4 bila kugusa ngumu, labda kidogo bia na wine tena kwa uchache sana..!
Ila Konyagi nimezinywa wadau

You have sum it all Brother.

"It comes Automatic"
 
Hangover remedy
FB_IMG_1637655658704.jpg
 
Huyu mpuuzi pombe haziwezi
 
Kuna siku nikanywa dompo namix na ice jamani ilikiwa tamu maradufu.
Nakunywa tuuuu kuja kushtuka melewa hoves na ubaya wa wine zinani'turn on [emoji21][emoji21]
Sijui nihamie wapi au niokoke tu [emoji23]
Hapo ndo penye shikilia hapo hapo mkuu[emoji847]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom