Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 375,749
- 870,527
- Thread starter
- #25,581
Dah[emoji39][emoji39][emoji39][emoji1545]Mwenyekiti Karibu Breakfast View attachment 2033459
Dah[emoji39][emoji39][emoji39][emoji1545]Mwenyekiti Karibu Breakfast View attachment 2033459
Kwani ni yupi uliyemsikia anakunya pombe?Kumbe JF kuna nyuzi kama hizi hahah.
Nb Mungu aniepushe na unyaji wa pombe,
Maana kila nkisikiliza ule wimbo wa lucky dube nakumbuka mbal mno….
Kumbe JF kuna nyuzi kama hizi hahah.
Nb Mungu aniepushe na unyaji wa pombe,
Maana kila nkisikiliza ule wimbo wa lucky dube nakumbuka mbal mno….
Itakua SLAVEWimbo upi boss
[emoji23][emoji23][emoji23]Huu ndio ule mtambo wa jana niligonga glass mbl kijasho kikatoka[emoji23][emoji23][emoji120]
The Monk rafiki tukutane maeneo niko naelekea hapo
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Baridi ya leo inafaa upate Kiwingu rafikiNahii hali ya hewa nikipata K Vant mbili si hangover itanipelekesha sana? Balimi zinapatikana pale?
MtanihadithiaFalse Bay ngoja tusubiri hotuba ya mama anaenda kufungua nchi Mara ya pili.View attachment 2037392
Unataka nimtag nanihii hapa aseme nani alipeperuka eeeh?Kiwingu sasa si hadi yule "mwari" mliompeperusha siku ile awepo?
Unataka nimtag nanihii hapa aseme nani alipeperuka eeeh?
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app