Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

IMG_8942.jpg

Tangu mwezi wa 8 tarehe 24 nilisema ntakua nanywea ndani, leo ni tarehe 24 mwezi wa 10... nmefanikiwa hilo na hapo hizo ni chupa ambazo nilkkua nazihifadhi ku track rekodi yangu.. zipo 104. . nlikua nanunua kila moja 9000 ila kwakua naagiza kwa bodaboda inakua 10000. ..

am starting to enjoy kunywea geto!.
 
View attachment 1985124

Doh watu kama nyie mkifa ndo tunawaagia bar[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jokes

Re:[emoji445]kuzimu hakuna beer ndio maan tupo hapa tunakuunywa beer na siku ukiondoka apa pia rafik zako tutakunywa zako beer[emoji444][emoji445] hii nyimbo ilinifanya nipende kipindi cha JAHAZI clouds fm ilikuwa kila ijumaa lazima waiimbe Captain G. Habash, Marehemu Ephrahim Kibonde na George Bantu
 
Mkuu unaweza kuupata huo wimbo maana naupenda sana na Clouds radio toka afariki Kibonde haupigwi kabisa.
 
Hahaaa hakika mniagie bar
 
Mkuu unaweza kuupata huo wimbo maana naupenda sana na Clouds radio toka afariki Kibonde haupigwi kabisa.
Sijui yanapatikana wap na mm pia sina japo naupenda.. Kuhusu kutoupiga naona wanazingua tu au labda muhasisi alikuwa Kibonde alaf ata hvy kipindi chao sahv naona kama hakivutii na jina wakabadili wakaita Traffic Jam kimekuwa cha kiboya kwa upande wang naona
 
View attachment 1985124
Tangu mwezi wa 8 tarehe 24 nilisema ntakua nanywea ndani, leo ni tarehe 24 mwezi wa 10... nmefanikiwa hilo na hapo hizo ni chupa ambazo nilkkua nazihifadhi ku track rekodi yangu.. zipo 104. . nlikua nanunua kila moja 9000 ila kwakua naagiza kwa bodaboda inakua 10000. ..

am starting to enjoy kunywea geto!.
Hapo unanywea ndani ishakata one million miezi miwili imagine na wapambe aseee
 
View attachment 1985124
Tangu mwezi wa 8 tarehe 24 nilisema ntakua nanywea ndani, leo ni tarehe 24 mwezi wa 10... nmefanikiwa hilo na hapo hizo ni chupa ambazo nilkkua nazihifadhi ku track rekodi yangu.. zipo 104. . nlikua nanunua kila moja 9000 ila kwakua naagiza kwa bodaboda inakua 10000. ..

am starting to enjoy kunywea geto!.
Vyupa 104 ndani ya miezi 2 mdau?
 
Safi, kuna jamaa yng soldier anachumba kimejaa chupa za k vant kuzitoa nadhan itabidi akodi kirikuu[emoji23][emoji23]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom