Ilankunda1234
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 4,840
- 4,813
Mdau lieko karibu asogeee aseee
Sijui nani kawadanganya wenye hizi bar kuweka miziki yenye makelele, tunashindwa hata kupiga story au kuongea na simu!! ndo maana nimehamia kwenye vigrocary au kwa mangi, unapata bia safi kabisa kwa utulivu.Hamna kitu sipend Kama makelele na sitokaa nirudi Tena pale .
Nishapata kijiwe kinaitwa blue stone karbu na gold crest Ni sehem tulivu kabisa ...kila siku jion lazima Ni sign In...
Binafs siku ambayo nna vibe,hua naanzia kwa mangi,zikianza kupanda naenda kwenye kelele sasa,ni full shangwe,Sijui nani kawadanganya wenye hizi bar kuweka miziki yenye makelele, tunashindwa hata kupiga story au kuongea na simu!! ndo maana nimehamia kwenye vigrocary au kwa mangi, unapata bia safi kabisa kwa utulivu.
Unamvizia kwa chini halafu unamtekenya kikalio[emoji3]Hatar lkn salama! View attachment 2029409
Kuiacha iende wapi?Ona hii kiumbeView attachment 2031156
[emoji23][emoji23][emoji23]Unamvizia kwa chini halafu unamtekenya kikalio[emoji3]
ApuuzweHajitambui huyu
Kiwanda cha kusindika gongo
Tatizo mjini hapa hazipo.. nishakutana nazo Mbeya
Sijui kwnini dsm hawajaziachiaTatizo mjini hapa hazipo.. nishakutana nazo Mbeya
Juliana is Overated
Unamaana Gani Mkuu?Hujalewa bado ndio maana[emoji23][emoji23][emoji23]