Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Asikumbie mtu tutu
20211022_144831.jpg

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Ule msemo pombe haiachiki una ukweli 70%, Jaribu uingie kwenye hiyo 30%.

Kuacha pombe kunahitaji nguvu nyingi sana nisikudanganye mkuu.

Pombe ndio kiburudisho rahisi kuliko kiburudisho kingine chochote kwa upatikanaji na varieties pia. hakuna asiyependa kuburudika.

Pamoja na Mimi kutaka kuacha yapo mambo mengine yalisaidia ambayo ni personal zaidi.

ila pombe kuacha ni ngumu sana tena sana.
Hii kitu inakuja automatically.. Mimi nilikuwa siwezi kulala bila kupata kibinti cha Konyagi.. N trust me hiyo hali nilikaa nayo zaidi ya miaka 10, nilipumzika nusu nilipokuwa naumwa tuu na sometimes hata dozi nilikuwa simalizi
Konyagi
Valuer
Na ngumu kumeza nyingi ndio vilikuwa vilevi vyangu.. Halafu from nowhere hamu ya pombe ikaisha kabisa.. Sasa hivi naeza maliza hata wiki 4 bila kugusa ngumu, labda kidogo bia na wine tena kwa uchache sana..!
Ila Konyagi nimezinywa wadau
 
Nipe viwanja Kaka yawezekana nimetumia udhoefu wangu wa zaman coz niliwah kukaa huu mji miaka ya nyuma na Sasa nimerudi .
Pale picnic naona bado Ni ile ile,Kipong pale customer care zero kabisa niliishia kwenda Mopao Moshono live band uchwara.
Ona sasa ulikoenda 🤣🤣🤣 Kumbe shazi ulilifata mwenyewe.
 
Ule msemo pombe haiachiki una ukweli 70%, Jaribu uingie kwenye hiyo 30%.

Kuacha pombe kunahitaji nguvu nyingi sana nisikudanganye mkuu.

Pombe ndio kiburudisho rahisi kuliko kiburudisho kingine chochote kwa upatikanaji na varieties pia. hakuna asiyependa kuburudika.

Pamoja na Mimi kutaka kuacha yapo mambo mengine yalisaidia ambayo ni personal zaidi.

ila pombe kuacha ni ngumu sana tena sana.
Inaitajika nguvu kubwa sana, haswa personal issues ndio zinakupa hamasa kubwa.

Subiri nizimua hapa, bar ya mtaani..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom