Kuna hii kitu inaitwa HUNSON CHOICE waliowahi kuitumia hii ipoje kwa upande wa hangover
Valuer ni hatari hiyouwii Value ni balaa
Mwenyekiti 5ltr??20 to 50
Kinywaji cha kibabe sana hiki, nakikubali mnoooooLeo nilikuwa Kisemvule na nilikutana na BALOTEL na tukajadili kwa kina tukio nililoripoti hapa la kuwekewa madawa kwenye kinywaji.. Kuna uwezekano mkubwa tatizo lilikuwa kwenye kinywaji husika kwakuwa hata yeye alipata tatizo linalofanana na langu
Hili ndio eneo husika la siku hiyo na leo pia..
Kwa taarifa hii hili jalada limefungwa rasmiView attachment 1997214View attachment 1997215
Napambana niache, nashindwa umewezaje mkuuArifu I gues unajua Madhara ya alcoholism. Unakutana na mtu ukiwa sober anauliza hivi huyu anakuaga sober?
Dah..! Ila leo ni Jumanne siku ya pili baada ya weekend
Aseeeee mi toka nizitirinbe kuanzia ijumaaDah..! Ila leo ni Jumanne siku ya pili baada ya weekend
Napambana niache, nashindwa umewezaje mkuu