Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,699
- 6,825
Baada ya masaa 8 kupita hakuna shida kabisaku
Asante sana mkuuBaada ya masaa 8 kupita hakuna shida kabisa
Nao nakunywa bia tamu na nishalewa
Baada ya masaa 8 kupita hakuna shida kabisaku
Asante sana mkuuBaada ya masaa 8 kupita hakuna shida kabisa
Adhabu yake ni noma sanaTunasubiri Mrejesho wa Jana wakulungwa. Mshapata supu? Wale wa Masaki najua mnaelekea Didiz na wa Kinondoni mnaenda four ways.
Pombe ni Tamu pale unapokunywa tu, lakini matokea yake ni adhabu.
Tatizo Mkuu unaenda Roma alafu unataka uishi kama mgalatia....Unaingia Billys Huku unaiwaza Kidimbwi.....usiishi kwa kukariri na kutengeneza ligi kuwa nitakacho kuta Dar lazima nikakute Mwanza....hizo baa maarufu ww unazoona kali akija mla bata kutoka France anaziona takataka....Alieko bills Arusha nko apa karbu aisee hamna namna ..!!
Matatizo mapya yamenikumba now days silewi km ni bia nikinywa silewi nashiba yan inafika point nakinai kunywa na km ni pombe kali nakunywa mok najihisi kuchoka kunywa silewi, imefikia hatua namiss kulewa[emoji39][emoji848]
Piga caster milk ndo baba laoBia zimekuwa kama maji
Mtu unakunywa kilimanjaro 6 hata huchangamki
Hakuna ladha ya pombe kabisa
Na hivi vi castle lite
Usiwe unakunywa daily pumzika hata siku mbiliMatatizo mapya yamenikumba now days silewi km ni bia nikinywa silewi nashiba yan inafika point nakinai kunywa na km ni pombe kali nakunywa mok najihisi kuchoka kunywa silewi, imefikia hatua namiss kulewa[emoji39][emoji848]
Sawa mkuuTatizo Mkuu unaenda Roma alafu unataka uishi kama mgalatia....Unaingia Billys Huku unaiwaza Kidimbwi.....usiishi kwa kukariri na kutengeneza ligi kuwa nitakacho kuta Dar lazima nikakute Mwanza....hizo baa maarufu ww unazoona kali akija mla bata kutoka France anaziona takataka....
Ukifika Roma Ishi Kwa Sheria Za Roma....
Sent from my CPH2127 using JamiiForums mobile app
Kama hujaona tatizo hata nikikwambia hutaamini ni tatizo.....Sawa mkuu
Nimekaa Arusha miaka Tisa iliyopita nikaondoka na Sasa nimerudi sioni mabadiliko aisee afu hamna anae tengeneza ligi kwani kuandika nilicho andika Kuna shida ?
Hiyo ilikuwa kinywaji pendwa yangu lakini ilivuoanza kale katabia nakunywa leo nalewa kesho yake nikaichaPiga caster milk ndo baba lao
.......inabidi upumzike mitungi kwa muda, uupe mwili muda wa kuflash out mazagazaga yooote ya pombe kama wiki mbili hivi. Ladha itarejea kama kawaida.Matatizo mapya yamenikumba now days silewi km ni bia nikinywa silewi nashiba yan inafika point nakinai kunywa na km ni pombe kali nakunywa mok najihisi kuchoka kunywa silewi, imefikia hatua namiss kulewa[emoji39][emoji848]
Energy drink sio poa mzeeNaweza changanya konyagi au gin yoyote na energy drink msaada nisije nikazima mazima
Ila huwa inatabia ya kukufanya kuwa mkorofiHiyo ilikuwa kinywaji pendwa yangu lakini ilivuoanza kale katabia nakunywa leo nalewa kesho yake nikaicha
Hiyo ni wewe tu ndugu. [emoji23][emoji23][emoji23]Ila huwa inatabia ya kukufanya kuwa mkorofi
Limekuja kwa kuchelewa saanaa
Kila nikiipakua hii picha ili niiweke ukutani inagoma