Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Daaaaaaah haya mapomb3 bwana

Wseee wadau mpaka sasa niko ndani ya chumba ila nyumba na mtaa wala eneo sipajui
Cha kushangaza niko uchi, na mwanamke lakini mpka sasa kila nikivuta kumbukumbu sikumbuki nilimuona wapi.

Nimejaribu kugusa mlango umefungwa na funguo sizioni

Nimetafuta viashiria vya uwepo wa mwanaume kwa huyu mwanamke sioni hata malapa wala boksa.

Habari njema tuu nimeiona nusu ya k-vanga kwenye meza yake. Inabidi nilifakamie sasa hivi kabla hajaamka asije nikuta niko mzima aseee.
Ahahahhahahahaha kaama nakuona vile
 
Mada imefufuka
giphy.gif
 
Wadau hivi hii Bongo Don mlioionja mnaionaje? Bado naiogopa maana ni gambe jipya kitaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom