Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,892
- 52,491
Kuna mshikaji alikuwa amelewa chakari mchana wa jua Kali akaanguka kutembea hawezi ila alikuwa amekaa tu na anaonekana hana nguvu,akawa anaomba sana maji ya kunywa kwa wapita njia
Kuna jamaa alikuwa karibu akafuata maji alipokaribia Kuna mama mmoja akasema usimpe maji atakufa,kama una chumvi mpake kwenye nyayo pombe itakata
Je aliyelewa sana ukimpa maji atakufa?
Na Je ni kweli ukimpaka chumvi kwenye nyayo pombe itakata?
Wanywa pombe naombeni majibu ili siku nyingine tuokoe nafsi za watu
Aione Mshana Jr
Ni sijui ila wakikata moto huwa tunawapaka limao kwenye nyayo