Bia ndogo waziuze kwa buku buku sasa. Lakini pombe kali imeongezewa kodi.Mama apewe mitano tena[emoji3]View attachment 1814447
XO LOUNGE patamuu,,,sema shangwe lipo PicnicKarbu chuga mkuu tuende X.O
Mama mitano tenaBajeti ya serikali
Bia za shuka Bei
Ushuru wa mililita 1000 kutoka 720 Hadi 620
Yaan bia kama safari , Kilimanjaro nk zitauzwa 1500
Na hizi Serengeti ndogo Ni Buku tuu
Niseme nn bwana
Niseme nn bwana
Bali ninashukuru
Sent from my CPH2127 using JamiiForums mobile app
Mkuu hujamwelewa vizuriMama apewe mitano tena[emoji3]View attachment 1814447
Embu tuelewesheMkuu hujamwelewa vizuri
Embu tueleweshe
Asee hii kifaa bei gani?
Leo nipo maeneo ya Kibarazani karibu na Police Post MburahatiView attachment 1815637
Mkuu mitaa ya TBT Kimanga huku ni buku 3 ila pale makumbusho nexus wanauza buku 6Asee hii kifaa bei gani?
Naimiss sana hiyo mitaaLeo nipo maeneo ya Kibarazani karibu na Police Post MburahatiView attachment 1815637
Kanafaa kuchanganywa na nini? au kanapigwa kavu kavu!Mkuu mitaa ya TBT Kimanga huku ni buku 3 ila pale makumbusho nexus wanauza buku 6