Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Kiwanda cha pombe kali bandia chagunduliwa Moshi
IMG-20210520-WA0101.jpg
IMG-20210520-WA0100.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati nipo chuo fulani kuna mwana alitoa wazo tukafanye project yetu huko moshi kulingana na kwamba baada ya utafiti ilikuwa na participants wengi katika nyanja ya walevi pombe na bhange na vilevi vingine, hatukufanikiwa kwenda huko lakini nilishangaa sana.
Watu wanapiga sana kupitia njia hizi... Nina video zake lakini zinashindikana ku upload

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau twendeni songea[emoji23]
 
Unakunywa kitu asubuhi unaamka mwili wote unauma au una hangover ya kufa mtu
Ni shida mkuu,hizi clip zako hapo zimetupa elimu jinsi ya kutambua og na fake,shida sasa ni usiku na una kiu hukumbuki kucheki.

Ila Mimi huwa so mpigaji sana ni chupa moja ndogo daily,nikishtukia kuna mahali nimekunywa na asubuhi ikanileta juu huwa nahamia chimbo lingine.
 
Sahihi kabisa na wauzaji hukupa feki ukishakolea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom