Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Nipo maeneo ya Mabibo Matokeo King'ole Bar namalizia siku
JPEG_20210609_205919_2038264833073371446.jpg
 
Hii inataka uinywe kwa adabu' ipo sana huku tabora' kuna dogo alijifanya pampula tukainywa hii kitu, alisema harudii tena'[emoji3][emoji3]
Yap,ina kastimu fulani amazing,ladha nzuri,haina hangover,ujazo mzuri, affordable price hii kitu ndo habari ya mjini nimeshahama kwenye konyagi zamani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom