Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 375,836
- 870,764
- Thread starter
- #24,321
Hahahaha jibu lake ni kwasababu ni tamudaah pole mkali...ila ndo ivoo tunalewaga then tunafny matukio then asubuhi tunajuta uku hangover iktumaliza.....hahaha alafu tuna apiza hatutagusa tena kinywaji....baada ya week tu tunakutana tena kwenye vit virefu..sjuagi ni kwann?? mwenye jibuu plz
Wahudumu!?[emoji3064][emoji3064][emoji3][emoji3]Oiii! Nipo Hapa, Washaniteka!
Duh kuna vinywaji sijawahi kuviona wala kuvisikia Jogoo?😀🙌
Hii kitu ni laini mno...sema sielewi kwann watu Huwa wanaihofiaNzela/Nana/mgombaView attachment 1799515
Ucje kuwika tu aiseeNiacheni nileweView attachment 1799475
Acha tu Mwenyekiti [emoji1]
Mwake mwakeView attachment 1801656
Mdogo mdogo
Mwake mwake
View attachment 1801811
Njiani kuwasindikiza walevi[emoji3][emoji3]
Mkuu tangu ijumaa nimejitupia tena' dah nilipanga nipumzike hata wiki mbili duh' kazi iendelee tuLeo hamtungiki humu