Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Weekend nimearibu kila kitu ..sijui Nani alinituma ninywe, kitaa chote nimeonekana nimeyumba mchana daaaaaa...."
😀😀😀pole mkuu ulianza kupiga vyombo mapema eeh? na wanasemaga vyombo vya mchana vinalewesha zaidi sababu ya hali ya hewa joto nk.
 
Sina hofu,wasiwasi Wala woga
Nakula maishaaaaaaaaa

Chapaaa..nyonga mpaka chini
IMG_20210527_083612.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom