Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

daah pole mwana...hahaha me sku ya tatu hii sina hata apetyt ya diko..ni maji na matunda ndo nashindia..daah tungi ni kweree ikiamua kukuaribia mood lazima ujute
Kwa kweli hapana,, imenifanya vibaya coz hata job sijaenda asee' afu nyagi tu mixer bia tangu ijumaa nimepoteza mkwanja balaa' napumzika asee[emoji17][emoji17][emoji17]
 
Duh nimepiga nyagi tangu ijumaa leo sijaonja na hangover sio ya kawaida,, sina hamu ya kula hata kidogo afu nasikia kutapika kila muda' dah job hakuendeki asee
Tungi linatesa Sana ...unakunywa kwa furaha,,Ila kesho majutooo ni mengi Sana.Daaa kunawakati naogopa kabisa ata kupita mtaani..
 
Duh nimepiga nyagi tangu ijumaa leo sijaonja na hangover sio ya kawaida,, sina hamu ya kula hata kidogo afu nasikia kutapika kila muda' dah job hakuendeki asee
Ulizidisha kiwango pole sana..kunywa sana ma energy yatakusaidia
 
Ahahah...hiyo avata ni noma
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums1468538100.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom