Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Chinjwa
JPEG_20210527_102310_2051094174950072712.jpg
 
[emoji3][emoji3][emoji3]pole mkuu ulianza kupiga vyombo mapema eeh? na wanasemaga vyombo vya mchana vinalewesha zaidi sababu ya hali ya hewa joto nk.
daah pole mkali...ila ndo ivoo tunalewaga then tunafny matukio then asubuhi tunajuta uku hangover iktumaliza.....hahaha alafu tuna apiza hatutagusa tena kinywaji....baada ya week tu tunakutana tena kwenye vit virefu..sjuagi ni kwann?? mwenye jibuu plz
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom