....Mkuu, sidhani kama itarudi, na hata kama itarudi, basi siyo kwa staili ile....Zitarudi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji2957]
Sio mimi hiyo nimetoa WhatsApp.Hizi chimbo tupeane codes
Machame, Umenikumbusha Mbali ChaliiSio mimi hiyo nimetoa WhatsApp.
Njoo Arusha, Machame Luxury, Makao Mapya.
Hatari Mwenyekiti
Labda inakua UmelilaliaUkipiga sana monde usiku asubuhi ukiamka unakuta jicho moja linauma na kutoa machozi,tatizo ni nini ?
Nilikunywa dable kick kwenye kiduka Cha Mangi nikavunja kiti, Mangi si akachukua simu mpaka alipwe 15 yake...hapa ndio nimetoka kumlipa kanipa simuDuh imekuwaje tena