Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Daima bar
Kwa nyamwajuma
Niko na mzazi flani hapa ndo kazamini show kachukua galoni kajifungua mtoto takribani Mwezi anasema toka mjamzito mtoto Ana nyota mumewe anapiga pesa balaa kwenye minada ye mama mzazi huyu anakula pombe balaa yaani halewi sijui Kuna uhusiano gani Kati ya mama waliojifungua na kutokulewa..
[emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548]
 
Dear gambe umefanya maisha yangu ya yumbe, MI nimpambe wako leo nimekutumia ujumbe, MI ndugu yako nipe ukweli usini fumbe,


Uwepo wako karibu vp unafanya ni yumbe, Kila muda kwene friji unajipoza, MI domo zege nikisha kutumia natongoza, Nalewa usiku kucha jua lina chomoza, Nasindikiza na supu asuhi njema unaniongoza, We ni nani unaiyendesha hi akili, Nnikiwa na mawazo unanitoa stress nisifikili, Ukiwa mezan chupa kadhaa sijiwezi, Mpaka mtaani washa nipa jina jingine la mlevi, Unafanya nafubaa mi mwenzako, Hadi kazini naiba chapaa nije kwako, Dear gambe mitaa ipe ukweli wako, Nakila ugomvi wa baa kwanini chanzo ni chako.




Unafanya ndoa nyingi zinavunjika, Hasi chanya we na msosi nikichanganya na tapika, Aukatai kila mteja anae kuarika, Unafurahi na ubaridi wa maji una chilizika, Likitokea tatizo we ndo kimbilio, Nakutinga nakua muongeaji bila mpangilio, Nasahau kinga tamaa ndo kimbilio, We ni funda la ziada unaniumbua mi mwenzio, Unarainisha koo kifikla unani bembeleza, Unani kontro sijasoma naongea hadi kingereza, Usha niweza nani aliye kutengeneza, Na nini aliwaza nawe ni mbaya kwa wasio jiweza, Sa najinyea nanilikunywa kwa furaha, Najikojolea unani athiri na ninatoa cha paa, Dear gambe mitaa ipe ukweli wako, Nakila ugomvi wa baa kwanini chanzo ni chako.



Dear gambe unanichanganya sana, Unamajina mengi mpaka ya mbuga za wanyama, Nashangaa, mengine yanatia kinyaa, Mfano mzuri nigongo chimpumu hata cha ng"aa, Kwenye ubongo umetawala kila secta, Niukweri siwezi kua nawe bila pesa, Watu wengine wana kula ada kisa wewe. Unawafanya wanasahau ibada, Na juzi juzi tu nimepata khabari, Kuna mwana ulikua nae ameshapata ajaLI, Dear gambe nikweli unanichosha, Napenda kua nawe ila nyumbani mboga wanakosa, Nawaza jinsi gani ntakuacha, Mpaka wazalendo wa dini bahadhi kwako wame data, Hakuna utata poa sasa najikata, Kapuku nikizipata ntakufata...
 
Hii agenda ya siri sijui imefanikiwa kiasi gani[emoji2827][emoji2827][emoji2827]
Inawezakuwa imefanikiwa kwa kiasi chake, kwasababu hizi bia nyepesi tena za baridi zimekuwa zikiusishwa na upungufu wa nguvu za kiume.
Hii hoja inabidi ijadiliwe kwa kina hasa tukiwahusisha watumiaji.
 

IMG_7660.jpg
 
Inawezakuwa imefanikiwa kwa kiasi chake, kwasababu hizi bia nyepesi tena za baridi zimekuwa zikiusishwa na upungufu wa nguvu za kiume.
Hii hoja inabidi ijadiliwe kwa kina hasa tukiwahusisha watumiaji.
hizi bia nyepesi tena za baridi zimekuwa zikiusishwa na upungufu wa nguvu za kiume. [emoji44][emoji44][emoji44][emoji44] Mungu wangu
 
Daima bar
Kwa nyamwajuma
Niko na mzazi flani hapa ndo kazamini show kachukua galoni kajifungua mtoto takribani Mwezi anasema toka mjamzito mtoto Ana nyota mumewe anapiga pesa balaa kwenye minada ye mama mzazi huyu anakula pombe balaa yaani halewi sijui Kuna uhusiano gani Kati ya mama waliojifungua na kutokulewa..
Unagonga mtukuru mnyampaa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom