Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Hivi mkuu Mshana Jr unaichukuliaje pale pombe unapokuwa unaipenda unaitumia halafu kuna mtu pembeni kama mzazi, mpenzi au ndugu wa kampani aipingine tena sio kwa kuona madhara kiivo bali kutokana.na imani yake isiyomtaka atumie.

Unawezaje kuishi na watu wa aina hii ikiwa wewe unajitambua tena mtu mzima unafanya kazi zako familia.na maendeleo unafanya ila kitu pombe ikawawasha sana hadi wanakuona sio.

Hiyo jamii ya namna hii tuishi nayo.vipi.
Kuna wakati katika maisha tukishakuwa watu wazima na maisha yetu, maamuzi binafsi ni muhimu sana kuliko maneno ya wengine
Kama kitu hakina madhara kwako na kwa familia yako
Kama maisha yako unafanya vema
Kama humuombi mtu pesa ya kunywa huna haja ya kuhofia maneno ya wengine
Katika wote hao mtu muhimu ni mzazi tuu, huyu akisema msikilize
 
Mshana Jr Bora hizi gongo za viwandani za 2000 au Bora hizi local za wazee
Hii ni
kangara na sio mbege

JPEG_20210424_101803_5285664558522872864.jpg
JPEG_20210424_101825_5235782567129865902.jpg
 
Mshana Jr


ZIJUE AINA ZA POMBE NA SIFA ZAKE

Wakiindi _hii inakufanya uyaone maisha ni laini na kujiona wewe ni kila kitu

Komoni _ hii inakupa ufundi na ujasiri wa kutongoza demu yeyote unayemtaka

Chipumu _ hii inakufanya ujione wewe ni Tajiri

Wanzuki_ Sifa yake kuu ukinywa ni kujiamni na una uwezo hata wakupigana na Tembo

Ulanzi_ Hii ukinywa miguu inakua kama umefungiwa mawe

Mbege_ hii sifa yake ukiinywa unajiona mbabe

Gongo _Hii ni babukubwa ukinywa lita moja kwa siku kesho yake kaburi linakuhusu

Pingu _ Ukiinywa hii jiandae kujinyea njia nzima

Kibuku _ hii ukiinywa sifa kubwa ni kuongea kiingereza inafaa sana kwenunye interview za English

Ulaka _ hii sifa yake kubwa ni inakupa experience ya kutoa matusi inafaa sana ukigombana na mtu

Chang"aa _ sifa yake hii ni kupenda kusifiwa unataman ufanye vitu vizur watu wakisifie

Kangala _ hii sifa yake ni utulivu ukiipiga hii usingizi mnono unaupata

Hapo mi zote napiga ila inategemea na hari na muda[emoji23][emoji23]by kichaa karogwa tena
 
Kuna wakati katika maisha tukishakuwa watu wazima na maisha yetu, maamuzi binafsi ni muhimu sana kuliko maneno ya wengine
Kama kitu hakina madhara kwako na kwa familia yako
Kama maisha yako unafanya vema
Kama humuombi mtu pesa ya kunywa huna haja ya kuhofia maneno ya wengine
Katika wote hao mtu muhimu ni mzazi tuu, huyu akisema msikilize
Kwa sababu mzazi ni Mungu wa duniani
 
Mshana Jr


ZIJUE AINA ZA POMBE NA SIFA ZAKE

Wakiindi _hii inakufanya uyaone maisha ni laini na kujiona wewe ni kila kitu

Komoni _ hii inakupa ufundi na ujasiri wa kutongoza demu yeyote unayemtaka

Chipumu _ hii inakufanya ujione wewe ni Tajiri

Wanzuki_ Sifa yake kuu ukinywa ni kujiamni na una uwezo hata wakupigana na Tembo

Ulanzi_ Hii ukinywa miguu inakua kama umefungiwa mawe

Mbege_ hii sifa yake ukiinywa unajiona mbabe

Gongo _Hii ni babukubwa ukinywa lita moja kwa siku kesho yake kaburi linakuhusu

Pingu _ Ukiinywa hii jiandae kujinyea njia nzima

Kibuku _ hii ukiinywa sifa kubwa ni kuongea kiingereza inafaa sana kwenunye interview za English

Ulaka _ hii sifa yake kubwa ni inakupa experience ya kutoa matusi inafaa sana ukigombana na mtu

Chang"aa _ sifa yake hii ni kupenda kusifiwa unataman ufanye vitu vizur watu wakisifie

Kangala _ hii sifa yake ni utulivu ukiipiga hii usingizi mnono unaupata

Hapo mi zote napiga ila inategemea na hari na muda[emoji23][emoji23]by kichaa karogwa tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
giphy.gif
 
Wataalamu hebu wekeni orodha ya pombe sizizo na harufu mbaya mdomoni kiasi cha kumkera jirani yako au hata wewe mwenyewe..
Isiyo na harufu kiasi unaongea tu mtu anaskia harufu ya pombe
Karibia kila pombe ina harufu ila ngoja nikupe maarifa ukishamaliza makunywaji yako kula ndizi moja.. Harufu yote itapotea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom