Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 375,744
- 870,524
- Thread starter
- #23,621
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]DuhKila nikilewa lazima nichane suruali...Yani sielewi, pombe zinanitesa Sana, na naona kabisa umasikini wa kujitakia unakuja, kunakipindi nilianza kunywa Gongo nikajikuta nimelala kwenye kituo Cha daladala karibu na baa, huku sijui nimefikaje