Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,450
Nenda peace park resort siku za weekend totoz kibao mazingira fresh sana halafu vinywaji bei ya kawaida tofauti na sehemu zengine za bata zilizopo ufukweni ukishavuka daraja la kigamboni ukiulizwa utaelekezwa sio mbali sana na hapo
Wadau, Kwa Anaefahamu, Kigamboni naweza Kaa Wapi Na Sitaijutia Kodi Yangu, Mahali Classic bila Kusahau Watoto Wazuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ukwaju kama ukiamka na mashanga asubuhi ukiipiga ya baridi nzima nzima inakata hangova mapema sana naona mdogo mdogo mwarabu anaanza kuwa mkombozi wa walevi maana hata energy drinks zake za cane siku hizi zimejaa bar kuliko redbull
View attachment 1333290View attachment 1333290
Kiu
Hii komoni?
HahahahaHii komoni?
Wakuu ni uchoyo au ndo January ijumaa yote hii nmelala [emoji22]
Wadau, Kwa Anaefahamu, Kigamboni naweza Kaa Wapi Na Sitaijutia Kodi Yangu, Mahali Classic bila Kusahau Watoto Wazuri
Sent using Jamii Forums mobile app
aiseeJana ilisoma late sana
Jr[emoji769]
Mkuu Mshana siku kadhaa zilizopita nlitoka bush kwa mjomba kumsalimia akanifanyia mafekechee na akanipa dawa za kutumia siku 7 sasa ndo nimemaliza juzi tu maana aliniambia nikimaliza nirudi ablock kabisa wajinga wasije wakanigusa nimepanga nirudi kesho balaa sasa leo nimevumilia siku zote hizo ila leo nimeamka na ka kitu flani hivi sikaelewi natamani nichangamshe akili kidogo nauliza je masanga haitobatilisha dawa? Samahani najua swali ni la mjomba ila nimekuuliza wewe kwa sababu
Jana ilisoma late sana
Jr[emoji769]
Ndio maana ,vijana huku wazembe , kwetu porini ,alfajiri tu ugali tayari[emoji23][emoji23][emoji23]sio kipaumbele
Jr[emoji769]
Hahahaha, sasa eti SAA hz ndio kitimoto inakuja ,nisubiri iwe tayari,nile ugali[emoji23]kule kaz kaz
Jr[emoji769]