Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,996
- 11,887
Alieko Juliana karibu JD
God save us
God save us
Nimetamani kusogea hapoView attachment 1326693wanywaji vipi
january ngumu? Njooni Seacliff
Hizi balimi kuna maeneo huwa hazipatikani?,nipo singida nimezunguka bar nyingi kuzitafuta nazikosa,ila nikiwa dodoma nazipata.Ngoja nilipe Kodi.....hii January lazima ule vitu ivi....Halafu unasuuzia na izi lite zaoView attachment 1320991
Sent using Jamii Forums mobile app
karibu
Wakuu nataka nipate kitambi kidogo , bia gani nzuri kwa lengo langu
Na ninywe kwa kiasi gani
Kitimoto ni constant
Sent from my iPhone using JamiiForums
Yokozuna.
dodge
Ubahiri acha mimi sio mlevi wala sizijui sana pombe ila hizi nazijua 😝😝