Ngoja nilipe Kodi.....hii January lazima ule vitu ivi....Halafu unasuuzia na izi lite zaoView attachment 1320991
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh kitu cha karibu kutoka Burundi kigoma kipo sana aixeeNgoja nilipe Kodi.....hii January lazima ule vitu ivi....Halafu unasuuzia na izi lite zaoView attachment 1320991
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂yah...ila sio mpakani kivilee!
Hivi kinatoka Burundi??....Dah...nipo mkoa jirani na apo!Duuh kitu cha karibu kutoka Burundi kigoma kipo sana aixee
Mimi nilishauriwa sana Ila wakashindwa wenyeweHakunaga kitu kinauma kama watu sio wanywaji wanakupa ushauri uache mitungi...Mamaeee ' ....asubuhi waliniweka kikao' nikawauliza nimefeli wapi ? hawana majibu ...Acha usiku huu niwagongee K....kesho niwachane mmoja baada ya mwingine, wao wananini...over!View attachment 1320053
Sent using Jamii Forums mobile app
Yap kinatoka burundi aixee kigoma town kinauzwa buku moja..Hivi kinatoka Burundi??....Dah...nipo mkoa jirani na apo!
Yah hata hapa nilipo Ni buku mzee!Yap kinatoka burundi aixee kigoma town kinauzwa buku moja..
Dah kuliko ninywe diamond bora nkapige dadyy na mbege
View attachment 1326693wanywaji vipi
january ngumu? Njooni Seacliff
karibu mshana😃[emoji44][emoji15][emoji15][emoji44][emoji15][emoji44][emoji44]
Jr[emoji769]