Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Karibuni weekend hii.
IMG_20200111_185631.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukihitaji MSAADA Sema... Chama kipo nyuma yako...
Hakunaga kitu kinauma kama watu sio wanywaji wanakupa ushauri uache mitungi...Mamaeee ' ....asubuhi waliniweka kikao' nikawauliza nimefeli wapi ? hawana majibu ...Acha usiku huu niwagongee K....kesho niwachane mmoja baada ya mwingine, wao wananini...over!View attachment 1320053

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom