Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,372
Mkuu hiyo beer inapatikana wapi?alc 14?duh tatu tu si mzuka unapandaNaaam,,ijumaa inaanza hivi..
Cc #HomeAloneView attachment 1283548
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hiyo beer inapatikana wapi?alc 14?duh tatu tu si mzuka unapandaNaaam,,ijumaa inaanza hivi..
Cc #HomeAloneView attachment 1283548
Hatari sana hiyo mixer, Israel angempigia ohoo, hadi walevi wazee vijijini huku wanafahamu kama foundation ni muhimu before mitungi, yeye anapigaje kavu hivo duh. Vipi hajaokoka na kuacha pombe after...[emoji3] [emoji3]
[emoji16] [emoji16] [emoji16] huwezi amini nilirudi geto saa nne usiku nikidhani ni saa nanae usiku
baba mwenye nyumba umepokea dolari za kodi😁Merry Christmas & Happy New Year
Mambo yasiwe Mengi , maongezi machache pia nyingi tusitegeane tuView attachment 1302912
MTC | 101| [emoji769]
Mimi mwenyewe ilibidi niangalie mara mbili mbiliMkuu hili kochi lako lipo kama mpaja wa mdada wa nguvu [emoji23]
Kwako pia mkuuA very Merry Christmas to you all wajumbe.
With love from East Machame.
Hahahaha ,ewaaaa X mass mwanana kabisababa mwenye nyumba umepokea dolari za kodi[emoji16]
Naomba hiyo sh 100 niende banda la kideo..Hahahaha ,ewaaaa X mass mwanana kabisa
MTC | 101| [emoji769]
Naomba hiyo sh 100 niende banda la kideo..Hahahaha ,ewaaaa X mass mwanana kabisa
MTC | 101| [emoji769]
Hahahaha ,100 × 2230 = ? Utaangalia video mpk ufeNaomba hiyo sh 100 niende banda la kideo..
😁 😁 😁 noma hiiKuna siku mida ya saa tatu asubuhi nilisema ngoja nishtue ,ikaja round kadhaa saa saba nikawahi home nipo hechu hechu,nilidhani ni usiku balaa,kuja kuamka ni saa kumi na moja jioni,nikarudi,kufika nikakuta masela wanaendeleza,nikatoa lock tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo mbege mbona haina sambo[emoji44][emoji44]Me niko nyumbani nakunywa mbege nikisubiri pilau.View attachment 1303119
Sent using Jamii Forums mobile app
Me skutaka aniwekeeHiyo mbege mbona haina sambo[emoji44][emoji44]
Kuna movie ya delta force kuanzia saa 7-9 mchana,ikufuatiwa na first blood saa 9:30-11:30 jioni,then hard target saa 12-2 usiku na baada ya hapo kutakua na PILAU watoto hawaruhusiwe.Naomba hiyo sh 100 niende banda la kideo..
Hahahaaa mkongwe kazini..hivi hizo pilau walizokua wanaweka zilikua zina dakika au masaaa mangapi?Kuna movie ya delta force kuanzia saa 7-9 mchana,ikufuatiwa na first blood saa 9:30-11:30 jioni,then hard target saa 12-2 usiku na baada ya hapo kutakua na PILAU watoto hawaruhusiwe.
By Utawala.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aise nisaidie.. utakua unenitoa mbali maana nimechoka kuingia fungulia mbwa.Hahahaha ,100 × 2230 = ? Utaangalia video mpk ufe
MTC | 101| [emoji769]