Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,450
OkYan utajuta kufanya hivo, Achana na hayo hayo makitu jombaa, badae ni majuto
Hahahaha, ahsante Rafiki nakuja
Nimecheka kifalaDah wakuu nimetapika jana usiku nkahisi utumbo unatoka aisee wacha kabsa adi dem wang kanipikia uji saa tisa usiku amelia ananiambia nlikuwa nakata moto
Eehh mungu baba nirehem na hii hangover natetemeka kama generator mpaka nimemkumbuka rayvanny
Rafiki ,nisamehe nimesahau
🙆🙆🙆 umepita na dada wa kazi bossNahisi kuacha K Vant,yaliyonipata makubwa.Jana nimepiga Safari 6 nikanywa na K Vant vischana viwili.Nilikuwa na wife,tukarudi nyumbani saa tano usiku.Tumeingia kulala,ajabu,imefika saa tisa wife ananiamsha nikiwa nimelala kitanda cha house girl,nikiwa uchi.Tuliingia chumbani kwetu tukalala lakini sielewi nimefikaje chumba cha house girl.House girl, wife kakuta kalala kwa watoto.Na kiukweli sinaga tabia ya kutembea na wasichana wa kazi awe wa nyumbani au ofisini kwangu,sinaga mpango nao.Hadi muda huu wife hajasema lolote na tunaongea vizuri tu.Najiuliza nimuulize Kama house girl kamwambia nimefikaje.Hadi sasa sielewi
Sent using Jamii Forums mobile app
😁😁😁😁😁 wakenya nomaSafi kabisa [emoji117][emoji117][emoji117]
View attachment 1290337
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe nani kakuficha?
Karibu nduguHahhaaaaa Mia 9 hapo chimbo langu sana hilo...