Huko bado. Yaani huku watu wanabana matumizi. Kwa hiyo visafari vya hapa na pale vimepungua. Nimeoiga debe niwe nakuja nakaa wiki mbili kila mwezi. Wamechomoa
Understood madamAise basi usiwe unachanganya namna hiyo israeli anaweza fanya kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatar sana mkuu sitaki ata kukumbukaNimecheka kifala
I never thought mshana Jr ni member wa East Africa drinkers Assosiation (EADA) 😁😁 huu uzi naupitaga tu sikujua uzi wa moto kiasi hiki ngoja niongee na katibu tuone je bado mwenyekiti anaitaji nafasi yake au upewe mshana Jr😁😁
Hahahaha, mbn una speed sana
Hahahaha, najua Rafiki ila nitajua namna ya kufanya
I never thought mshana Jr ni member wa East Africa drinkers Assosiation (EADA) [emoji16][emoji16] huu uzi naupitaga tu sikujua uzi wa moto kiasi hiki ngoja niongee na katibu tuone je bado mwenyekiti anaitaji nafasi yake au upewe mshana Jr[emoji16][emoji16]
New year nitarecord time lapse ya vinywaji ntakavyokunywa kuazia asubuhi mpaka kesho yake....location ya leo ni star City new bar Singida....mida ya wanga.... stand ya zamani mbele ya choo cha kulipia barabara ya ukombozi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] picha zitafata baadae
MUSHI PL3ASE NILIPE DENI LANGU NVUNJE NA KIBUBU NIKATULIE STAR CITY
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji482]New year nitarecord time lapse ya vinywaji ntakavyokunywa kuazia asubuhi mpaka kesho yake....location ya leo ni star City new bar Singida....mida ya wanga.... stand ya zamani mbele ya choo cha kulipia barabara ya ukombozi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] picha zitafata baadae
MUSHI PL3ASE NILIPE DENI LANGU NVUNJE NA KIBUBU NIKATULIE STAR CITY
Hahahaha, mbn una speed sana
MTC | 101| [emoji769]
New year nitarecord time lapse ya vinywaji ntakavyokunywa kuazia asubuhi mpaka kesho yake....location ya leo ni star City new bar Singida....mida ya wanga.... stand ya zamani mbele ya choo cha kulipia barabara ya ukombozi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] picha zitafata baadae
MUSHI PL3ASE NILIPE DENI LANGU NVUNJE NA KIBUBU NIKATULIE STAR CITY
Hahahaha, najua Rafiki ila nitajua namna ya kufanya
MTC | 101| [emoji769]
Understood madam
Kifuatacho ni TWA TWA TWA ....
Umeniombea na Mimi mkosefu?Aise sikujua kama ningeamka kuwahi kanisani leo jana ilikuwa safi.
Sent using Jamii Forums mobile app