Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Pole sana ulikunywa nini? Je ni mara yako ya kwanza
Dah wakuu nimetapika jana usiku nkahisi utumbo unatoka aisee wacha kabsa adi dem wang kanipikia uji saa tisa usiku amelia ananiambia nlikuwa nakata moto

Eehh mungu baba nirehem na hii hangover natetemeka kama generator mpaka nimemkumbuka rayvanny

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tiba ya hangover.
IMG_20191221_092846_054.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom