Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Hii Mada idumu milele
1574525372195.jpeg
 
Hahaha asee nimecheka!!! Kila nikipanga kuacha pombe kali nashindwa, last week nililewa kufika asubuhi naona pua ilikua na damu afu imevimba. Kumbe niligombana na mshakaji lakini sikuwa na kumbukumbu aisee hicho kitendo kimenifikisha sana kwa kweli. Sasa hivi nipo hapa Hongera bar nakunywa maji makubwa tu bado najaribu ku reflect.
Tajitaidi papa Manake wife ameniambia niliruka geti usiku nikafungulia kuku huko jikoni nimevunja bomba yaani sielewi Leo kutwa nimelala mpaka majirani sijui niliwatukana?
 
Hahaha asee nimecheka!!! Kila nikipanga kuacha pombe kali nashindwa, last week nililewa kufika asubuhi naona pua ilikua na damu afu imevimba. Kumbe niligombana na mshakaji lakini sikuwa na kumbukumbu aisee hicho kitendo kimenifikisha sana kwa kweli. Sasa hivi nipo hapa Hongera bar nakunywa maji makubwa tu bado najaribu ku reflect.
Mkuu mi saivi nikitaka kulewa nalewea nyumbani na mke wangu nikienda bar napiga bia mbili nasepa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom